Habarini wana jamvi, kama ilivyo ada nmewaletea hoja hyo ili kunifahamishen mwenzenu tofauti iliyopo kati ya akili na elimu... Lakn lengo langu ni kuchochea ujenzi wa fikra(thinking)
Hawo ni mapacha na Graduate International Org, Ninacho kupongeza umekua mwepes kuleta jambo lako jamvin na wadau wasio na hiyana wanakusaidia kutegua kitendawil ulichonacho................of coz nawashukuru sana wana jf coz wamenitoa porin na kuniweka road tangu GIO walipo waliponiachia manyoya...
Yaweza ikawa kama kituko fulan! lakin cyo siri kamchezo haka naona kameniingia damuni mpaka naona kero sasa na kila ninapofanya jitihada za kukiacha kitendo hki nashindwa kujicontrol tangu nilipokua O-level mpaka sasa nina umri wa miaka 22 nahitaj sana kuachana na kitendo hki lakin kwa mbinu...
Yaweza ikawa kama ni kituko furani lakini, siyo siri jamani mwenzenu kamchezo haka sasa naona kameniingia damuni tang nilipo kuwa O-level mpaka sasa nna umri wa miaka 23,nmejaribu kwa kila namna kuacha lakin nashindwa kuj control kwa kila nnapohc kufanya tendo cna muda wa kujihangaisha na...
Wapo waajir wengi sana ndugu! wenye tabia km hzo na cyo ABG pekeyao, cjui furaha yao ni kuona watu wanajaza bahasha za maombi na kujazana maofcn mwao kwa sura za unyonge na misongo ya mawazo juu ya maisha????????????? TAFADHALINI SANA WAAJIRI SHIDA ZETU ZA AJIRA ISIWE SHULE KWENU YA KU CONDUCT...
Habar zenu wadau wenye nia tanza, jaman mwenzenu nahitaj kujua juu ya habari za kazi za 70 volunteers zilizokuw zmetangazwa na GIO mwez june 2014 na mwsho wa kutuma maombi ilikuw tareh 31 july 2014.......na tareh 9 mwez wa 8 nilitumiwa email ya kunitaarifu kuwa nimefanikiwa kuchaguliwa na kuwa...
Jaman wadau nawaombeni mnijuze juu ya zile nafasi a volunteers zilizokuwa zmetangazwa na GIO June 2014 na mwesho wa kutuma maombi ilikuwa ni 31july...........na training yao ilikuw ianze leo tareh 6 /09/2014, maana naona kimya kingi kutoka waliponitumia e mail yao ya kunitaarfu kuw nimefanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.