Recent content by fss1999

  1. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Nicheki kwenye namba zangu tubonge fresh
  2. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    🤣🤣🤣🤣
  3. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Ahsanteni nimepata fundi🙏
  4. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Nimetolea mfano na hilo ni kabati kwa kutumia mdf ila la mbao bei inaongezeka na ndio maana nimeweka namba kwa ajili ga maelewano
  5. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

  6. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Hapana malipo ni kutokana na kazi unayopewa kwa mfano kabati la mdfunalipwa efu 30 mpaka 35 kutokana na aina ya kabati so kama unaweza kumaliza kabati 3 hapo ni ww na bidii yako so tunatafuta fundi hasa wa mbao ngumu kama mtiki
  7. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Anaeweza kutengeneza milango, kabati kifupi awe mbunifu kwa sababu tunatengenexa vitu vya oda na vyakuweka karakana🙏
  8. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Habari za wakati huu? Natafuta fundi seremala atakaefanya kazi kwenye karakana yetu, anaeweza kutengeneza kazi za mbao pamoja na MDF. Ofisi ipo Tanga, korogwe... Sehemu ya kulala ipo vifaa vyote vipo ila kama anavyakwake itakua vizuri zaidi. Malipo ni maelewano kwa kila kazi atakayofanya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

    hapana hiyo ni barabara ya kwenda hospitali ya wilaya magunga ni hatari
  10. F

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

    dah kweli bhana
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ulinzi maeneo mbalimbali

    vipi kuhusu ajira za ulinzi
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana: Hivi ndivyo nilivyofanya kuondoa aibu kufanya kazi duni ili nipate kipato

    hii ni nzuri sana nmepata kitu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao

    Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
Back
Top Bottom