Recent content by frontline1

  1. F

    Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Pole sana ndugu, kodi shilingi ngapi kwa mwezi ,
  2. F

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Pole sana kaka, hakika siyo jambo jepesi kulipokea kwa mwanadamu yeyote yule. Saratani ikiwa hatua hiyo mara nyingi matokeo huwa kama alivyoeleza daktari wako hata hivyo Hakuna awezaye sema kwa hakika muda halisi wa kuishi kwa mgonjwa wa saratani, ila anaweza kutumia utashi , uzoefu na...
  3. F

    Inspiration Story by thé king love

    ahsante sana kwa somo zuri. stay blessed.
  4. F

    Nijiue ama? Kutokana na hii picha na hali yangu

    nakubaliana na wewe kabisa, ndugu yetu huyu anaugonjwa wa akili na ninachomshukuru Mungu bado anao uwezo wakujua analo tatizo, na kutafuta msaada. naomba msimkejeli na kama kuna mtu anayemfaham basi achukue jukumu lakumpeleka pale mawenzi hospital kuna kitengo cha magonjwa ya akili atatibiwa...
  5. F

    Nyumba ya kupanga Kinondoni B

    Kindly call 0762060880
  6. F

    Photographers' Corner

    excellent job that need acknowledgement, kindly allow me to use some of your photos for personal use.
  7. F

    Sababu 10 za kuwachukia madaktari

    To be honest I felt very bad to see the way people think about us, it's like a double edged sword passed through my heart! Any way I think that is one many who have been mistreated by medical personnel. its good for us to be evaluated as well it give us an insight of our mwenendo. I urge all...
  8. F

    Upande wa pili wa sakata la alhaji professor Athman Kapuya

    ukitafakari kwa undani utagundua kuwa prof. kapuya ana ugonjwa wa akili unaohitaji matibabu ya haraka, ni mtu hatari katika jamii,na inawezekana wako wengi wenye ugonjwa kama wa kwake. kisayansi tunaita pedophile.= anapata pleasure pale anaposababisha maumivu kwa mtu mwingine tena watu haw...
  9. F

    This is what you should invest in your area if you have no idea in any business.

    salam mkuu, naomba unipatie contact zako nikutafute, nahitaji sana that bussines niko wazo hill.
  10. F

    Gharama za matibabu Muhimbili zapanda maradufu

    wanasiasa wao wanajiweka katika mazingira mzuri ya maisha, wafanyabiashars kadhalika, serikali imesahau huduma muhimu, watendaji wa afya wakisema hali siyo shwari kwao n kwa jamii watu wanawabeza nakuwaona wabinafsi. kila mtu anataka maaisha bora na unapobanwa wapaswa mbana unayemuweza so...
  11. F

    CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    i like the way you have summarized the whole staff! we want modest people who real feels the needs of the people they serve, he deserve to put tools down and go back to university of dar es salaam, I think that is where he belongs!
  12. F

    Ni kweli Watanzania hawana uwezo wa kunisaidia ili nisife

    pole sana mgonjwa naomba asamaria walioko karibu wampatie nauli naa fedha zakujikimu kidogo apate kwenda dar, ninachojua matibabu ya saratani katika taifa letu yanapatikana katika kitengo cha saratani ocean road ila yampasa mgonjwa kupita katika hospitali yoyote ya rufaa au hospitali ya taifa...
  13. F

    naomba mawazo juu ya hili gumu kwa mdogo wangu

    mpe pole na hongera kwa mbali, naomba umtafutie chuo cha maabara au cha clinical officer, waweza kwenda KAM chuo cha afya kiko kimara au wizarani kwa msaada zaidi. ataweza anza na diploma with time atapata shahada na ajira kwa kada hizo ziko nyingi sana na pia anaweza kujiajiri na kukuajiri pia!
  14. F

    VIDEO: Baba Mzazi wa Dk. Kigwangalla adai kutelekezwa na mwanae

    pole Dr, wenye akili wameona ulichokiandika, uko sahihi kabisa, na baba huyu kweli insight yake imepungua, hakunan mzazi anayeweza kufanya hivi akiwa na akili timamu, ngekutumia hata wazee wenzake au rafiki zake, maana amelipwa 20,000 wakati dowa aliloweka halitofutika milele. ninaweza hisi...
  15. F

    Wataalamu wa masuala ya uchumi hii imekaaje?

    ni jambo jema hapo ni muda wa watu kufanya mambo binafsi yakuwaingizia vipato, hata hivyo kuna kazi nyingine ambazo watu hawajui mapumziko ni nini, hata kama yako kwenye katiba wao ni kazi tu, ukilala unaleta madhara kwa wengine wengi! vilaza ndiyo wenye kulala!
Back
Top Bottom