Suluhisho la kiutuuzima:
Hao inaonekana ni wahitaji wa umeme na huenda mbambamba za tanesco ndiyo zimefanya wapite na option hiyo. Hao waunganishiwe umeme kikawaida tena bila malipo na wapewe onyo, hizo hatua kali wanazoongelea wanataka kuwapiga faini babu zetu washindwe kulima mwaka huu...
Mahuthi hawaupambanii uislamu wanapambania ushia wala hawaitukuzi miji ya Maka wala Madina, muislam wa kweli hawezi shambulia hiyo miji + misikiti yake. Saudia kuwa upande mmoja na marekani ni kuchagua tu lesser evil. Ni ukwel usiopingika kwamba Marekani ina nguvu, ukipata namna ya kuepusha...
Kuna mtu ni masikini na bado anamatatizo ya ujinga kisa hao jamaa wana asili ya kihindi na kiarabu anasema siyo Watanzania. Masikini + roho mbaya + husda + ujinga... Hao jamaa wanamfumo wa kujitengenezea generational wealth we mswahili na hiyo roho yako tunayoiona hapa ukipata hela hata mdogo...
Dada unajielewa sana, hao wataokuona upo desperate na ndoa au hujui thamani yako most of them ni mashindikanaa (hawajui thamani ya ndoa wala hawajali kubadilisha wanaume) au ni watu walojazwa ujinga wa ki feminist. You are kind of a woman worth dying for... You deserve the best
Haya ni mawazo yako na dini haiendeshwi kwa rai. Katika maana za Uislamu ni kujisalimisha kwa Allah yani ni kufuata maelekezo. Na katika maelekezo ya maiti ni kuwahishwa kuzikwa mtume akasema ni kwa mambo mawili: Kama alikuwa ni mja mwema muwahishane akapate mazuri yake uko akhera na kama...
So far naona app imekaa vizuri sana, dark mode yake imewekwa rangi tamu sana hata twitter na fb hazifikii. Ila kwa simu yangu nimeona kuna bug moja, ukiwa unaandika composer haipandi juu so nakuwa sioni ninachoandika..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.