Recent content by frog black

  1. F

    Hivi nauliza CCM wamebadilisha utaratibu. Anayesikika ni Makonda tu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) tangia kilipoanzishwa,Kilikuwa na utaratibu mzuri tu.Kila aliyeteuliwa alikuwa akiheshimu madaraka ya mwenzie na pia kulikuwa na ustaarabu wa kutokimbilia ovyo kwa wananchi na kuwasema au kuwahoji viongozi wenzio wakiwemo mawaziri.walikuwa wanaitana kwenye vikao baina...
  2. F

    Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

    Kaka silaha zao manati,mawe na bunduki za kizamami ila kwa ushujaa hawaigopi wape silaha kali uone kama israel na waarabu wengine watabaki
  3. F

    Hakuna watu waoga dunia hii kama waarabu na jamii zao

    Una wivu wewe.hakuna watu matajiri duniani kama waarabu hata hapa Kwetu waarabu wengi matajiri kama Bakhressa,GSM,Oilcom,Lakeoil,na wengineo.Vita ya Ghaza sio ya waarabu wote.Ni kati ya wayahudi na vikundi vya wanamgambo ambao silaha zao ni Rifles tu.
  4. F

    Putin yupo kwenye mashine 'imara lakini hali mbaya,' Madaktari hawana imani sana baada ya kupata mshtuko wa moyo

    Rais Putin yupo katika afya njema kabisa na ameonekana katika channel ya RT akiongea na Makamanda wake.kuhusu kudorora kwa uchumi Urusi ipo vitani lkn Uchumi wao bado imara kuliko Marekani wanaotegemea hela za waarabu wa Ghuba hasa Saudi Arabia.
  5. F

    Mr Paul Makonda Appointment: Letter to her Excellency Samia Suluhu Hassan, CCM Chaiperson

    Dear Madam CCM CHAIRPERSON I hope this letter finds you well. Iam writing to bring to your attention a matter of concern regarding the appointment of an individual within the party who has been declared ineligible to enter the USA. It has come to my attention that this individual, despite...
Back
Top Bottom