Ushenzy sasa RC, DCDO, DED hao ndio wanaleta mvua? Kama mvua ingekuwepo watu hawalimi sawa mvua yenyewe shida. Kama Dodoma watu wamepanda Mara mbili mbegu zinakaangika tu
Mimi naishi mbeya Kusema ukweli sijawahi kupenda kulima sababu ya kunyanyaswa wakulima. Ila nimejaribu kutokana na hali ngumu. Ila mwaka huu umekuwa wa ajabu. Mwaka Jana muda kama huu mvua ilikuwa inamwagika mpaka barafu zinadondoka ila mwaka huu nimeshuhudia mvua mbili tu mpaka sasa. Dodoma...
Hivi munajua chadema ilipotoka? CDM Imeshawahi kuungana na CUF na CDM haikuweka mgombea urais wakawa wanampigia kampeni Lipumba. Chama kipya lazima kipitie kwenye changamoto ndio kiimarike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.