Recent content by Frexer

  1. Frexer

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

    the more they hate ndo the more we like .# Lissu 4 ever
  2. Frexer

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, Tundu Lissu anawatumia ujumbe; msimpuuze

    Angekufa mngetoa kauli gani. Anauchungu na Taifa lake muacheni apambane # Tundu lisu 4rever
  3. Frexer

    JamiiForums Tanzania Je nawez chaguliwa kwenda A-level

    ba baada ya hapo hujui hahahaha mbona unamtisha
  4. Frexer

    JamiiForums Tanzania je kwa alama hizi aende wapi👱

    je huyu dada mnamshaur aende chuo gani na asomee course gani? English D, Kiswahili C, Geography D, Civics D. Yaliobak F.
  5. Frexer

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya atapata shule ya Serikali ya sekondari kwa elimu ya juu

    mwmm mwalimu cijapata maoni yako
  6. Frexer

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    samahani kama natoka nje ya mada kuna mdogo wangu ana dv.3 25 na anamatokeo history C kiswahili C english B civics D geography D biology D mathematics F. Je anaweza kwenda advance ya serikali akapangiwa shule?
  7. Frexer

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya atapata shule ya Serikali ya sekondari kwa elimu ya juu

    C ya history na kiswahili B ya English
  8. Frexer

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya atapata shule ya Serikali ya sekondari kwa elimu ya juu

    ana F ya math na yaliobaki D
  9. Frexer

    JamiiForums Tanzania Idea

    aaah xo unashaur nitumie language ipi xx bro
  10. Frexer

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya atapata shule ya Serikali ya sekondari kwa elimu ya juu

    but ni wakiume cos naskia wakike ndo wanapewaga nafasi
  11. Frexer

    JamiiForums Tanzania Idea

    nataka nijifunze proggraming ila bado cjui ntaanzia wap but nimeahajifunza html kidogo tu. Nataka in the future ni establish my own website
  12. Frexer

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya atapata shule ya Serikali ya sekondari kwa elimu ya juu

    Jamani msaada, Mdogo wangu ana ufaulu wa Division III.25 Uwiano mzuri wa ufaulu upo katika masomo ya HKL ambapo History-C, Kiswahili-C na English-B Je, atapata shule ya Serikali?
Back
Top Bottom