Lengo kuu la uislam ni kusimamisha dola moja kubwa ya kiislam. ISLAMIC CALIPHATE Yaani taifa moja kubwa la kiislam ambalo litatawala dunia nzima. Na waarabu walivyo wajanja wameweka kwenye vitabu vyao kwamba kiongozi wa caliphate hiyo lazima awe mwarabu mquraish
Nani amekudanganya USA watu huwa wanasoma wanapopataka.
Mfano havard huwa inakubali first year 2000 tu kila mwaka. Ila watu wanaoomba nafasi ya kusoma havard ni zaidi ya 50,000. Hivyo zaidi ya 48,000 wanatemwa wanakosa nafasi.
Ushindani wa vyuo upo dunia nzima
Kwani kufa ukiwa hujui kutumia computer ni kosa ?
Mbona watu kibao wenye heshima kubwa duniani wamekufa hawajui kutumia.
Mfano
JE nyerere kafa akiwa anajua kutumia computer? Je Isack Newton kafa akuwa anajua kutumia computer?
Kwani kujua kutumia computer ni mpaka usome upewe cheti ndio utajua kuitumia? Kina kishimba hawajui kutumia computer kwa sababu hawakusoma kupata vyeti vya shule ??
Weka ushahidi wa hoja yako. Kwamba bila hao watoto wake kusoma huko ulaya na marekani. Mzee Kishimba hawezi kuendesha biashara zake sababu yeye hajasoma.
Kisha tulinganishe hizo biashara ameanzisha lini na hao watoto wake wamesoma lini ?
Ukisoma biblia na quran kwa kutumia akili ya kuzaliwa utagundua dini hizi magumashi tupu. Kuna ujinga na uongo wa wazi wazi mwingi sana.
Mfano Biblia inakuambia eva aliongea na nyoka kuhusu tunda la bustan ya edeni
Huku Quran inakuambia mtume muhammad alipaa na punda mwenye mabawa kwenda...
Ukishakuwa mfuasi wa dini yoyote ile na ukawa mwamini basi wewe ni mjinga. Kujuwa(knowledge) ndiyo njia sahihi na si kuamini/imani (belief==religion (dini) ) kama tunavyoelekezwa na wajinga waliotutangulia.
Nitakupa mfano… vimelea wa magonjwa hawaondolewi kwa imani wala hawakingwi kwa kuamini...
upo sahihi. kina Kishimba hawana vyeti ila wanaendesha biashara kubwa kuliko maprofessor wa UDBS
Kina gsm na salah hawana vyeti ila wanasimamia kampuni za mabilioni na wanazikuza kweli kweli
habari wadau.
ukweli mchungu ni kwamba watu wengi tuliokuzwa katika dini tunapata shida kutenganisha reality ama facts na fiction ama kazi za sanaa. mwisho wa siku tunajikuta tunajidanganya wenyewe kwenye kutatua changamoto zetu za kimaisha.
mambo mengi sana ambayo ukweli ama uhalisia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.