Recent content by Freseme

  1. F

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tumewekwe utaratibu wa kuuza mkopo lakini benki zinabana badala yake zinataka tuongeze mkopo juu ya mkopo

    Ni kweli, mimi nawataja kabisa platinum credit riba ni 42% na wanapewa namba za watumish wapya na maafisa utumishi. Mtumishi bila kua makini unaingia mkenge
  2. F

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tumewekwe utaratibu wa kuuza mkopo lakini benki zinabana badala yake zinataka tuongeze mkopo juu ya mkopo

    Kweli tunaitaji financial discipline utakuta unahitaji pesa halafu kuna option moja tu ya top up. Top up ni mbaya mno unanyonywa kwelikweli
  3. F

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tumewekwe utaratibu wa kuuza mkopo lakini benki zinabana badala yake zinataka tuongeze mkopo juu ya mkopo

    Ni kweli tutakufa kwa stress yaani ess ina Friday na hasara zake
  4. F

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi tumewekwe utaratibu wa kuuza mkopo lakini benki zinabana badala yake zinataka tuongeze mkopo juu ya mkopo

    Aisee ni kweli mimi nimejaribu nimeshindwa ila top up inakubali
  5. F

    JamiiForums Tanzania KERO Utapeli wa mikopo ya kausha damu kwa watumishi wapya kutoka Platinum Credit limited, na kutofanya kazi mfumo wa ESS kipengele cha kuuza mkopo

    Mimi mwenyewe wamenilaghai yaani najuta. Yaani nashangaa waliweza vipi kunilaghai
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ndugu zangu; napitia mateso wakati NSSF wanayo pesa yangu. Nachukuaje michango yangu?

    Hata mimi wananizungusha wanasema faili lipo makao makuu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Aisee. Mimi mwezi umeisha ila bado bilabila
  8. F

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    nadhani kuna mabadiliko mengine yanatakiwa hasa katika FAO la kukosa ajira. Sheria inasema Aliyeachishwa kazi atalipwa theluthi moja ya mshahara aliokua analipwa kabla ya kuachishwa Kazi kwa miezi sita tu. Ni bora akaendelea kulipwa mpaka atakapopata Kazi, au salio la michango litakapokwisha
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tarehe 23 ya NSSF inavyonipa presha na kuniweka roho juu. Niombeeni please!

    Hapana na mimi nimefungua madai nssf temeke tarehe niliyopangiwa inakaribia. Nilitaka kujua kama tarehe inafuatwa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tarehe 23 ya NSSF inavyonipa presha na kuniweka roho juu. Niombeeni please!

    Vipi mkuu umeshalipwa
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mafao ya Kupoteza Ajira

    Hata Mimi nimeandika barua kuomba kulipwa michango yangu baada ya kukaa miezi zaidi ya 18 tangu kulipwa FAO la kukosa ajira. Mpaka sasa bilabila
Back
Top Bottom