Recent content by freezy

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

    Assalam Alaykum In the name of Allah the most gracious, most merciful. All praise and thanks are due to Allah, and peace and blessings be upon His Messenger. Habari mkuu.Kwanza kabisa naomba nikupe pole because inaonyesha wazi kabisa kwamba, hujui chochote kuhusu mavazi ya kiislam, let...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mfuasi wa Boko Haram Anaswa na Nabii Emanuel (SCOAN)

    Assalaam Alaykum Heshima yako mkuu.First of all inaonekana wazi kwamba you know nothing about Islam.Naona unajisifu waislam wamekukimbia.Hawajakukimbia bali wamekupuuzia,because your points are too irrelevant to attract highly intellectual Muslims. kuhusu swali lako la kwanza,and I quote...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Raha ya ubatizo maji mengi

    hahahahaha chukua ka-like kangu mkuu,japo sipendi politics but umenifurahisha sana
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ngeli ngumu aisee!!!

    teh teh teh hiyo ndio tunasema expecting the unexpected..et who telled you? Hilarious.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Kenya ni majanga na uhuni mtupu!!!

    aisee! hakika na sie huku ndipo Pindalism itakapotufikisha
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kiduku kikikolea

  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa maswahiba tu!!!!

    dah! we jamaa mchokozi wewe,,
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Back at you mkuu.nimekusoma vilivyo. Tuendelee kuelimishana .
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Assalam Alaykum Shukran ukhty.Hakika mimi nina ilm ndogo sana na namshukuru Allah kwa kuniruzuku ilm hiyo japo kwa uchache. By the way shukran dada kwa ukumbusho kwa huyo jamaa juu ya kuoga j****a na kutia udhu kabla ya kugusa THE HOLY QUR'AN.Tuendelee kuelimishina In shaa Allah kheri...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    waalaykumu ssalaam al-akhiy Naaaam! nami nakuchungulia kwenye telescope hapa.Kwa upako ulionao naona kuna dalili ya misukule kukukimbia hapa. teh teh teh keep up the good work
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    teh teh teh Ati Dodoma wine?? aisee job true true.subahul khair mkuu.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Salaam Rafiki teh teh teh Naona leo umekuja bila hata Salaam,sijui ndo divai inafanya kazi au ndo stress za maisha?..just kiddin lol. Hivi mkuu uliielewa kweli ile post yangu? Naomba nikukumbushe tena kwamba Saudi ni Islamic holy land. So ni responsibility ya wananchi wake kuwa holly...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Mkuu Al akhiy KomboJr Samahani kama nimekukwaza ndugu yangu. Lakin nadhani hujanielewa. Am a muslim,and najua wapi kwa kupatia ushahidi, nimeutafuta lakini sijauona that's why umeona nimeshangaa. Na pia najua kama huu ni upuuzi na ni uzushi but kwa elimu yangu ndogo nlojaaliwa na Allah...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    mkuu let me correct you kidogo.Hakuna dini iliyokataza matumizi ya nyanya bali n kikundi cha watu kadhaa wasiojua walitendalo..Nadhani ni islamic brotherhood. Otherwise kama hutojali utuonyeshe ushahidi wa maandiko ya dini hiyo yanayo-forbid matumizi ya nyanya Have a good night mkuu
Back
Top Bottom