Nchi zilizofanikiwa ktk elimu,muda wa masomo ni mdogo sana.Kwa mfano Finland watoto wanaanza shule kuanzia umri wa miaka 7 na masomo yanakuwa masaa machache kwa siku.Walimu wa kwanza ni wazazi au walezi nyumbani na watoto lazima wapitie utoto wao wakiwa nyumbani.Tunaomba Mhe Rais alione hili na...
Pole sana dada.
Ndoa ni Upendo,huruma na heshima.
Kimoja kikipungua basi hakuna ndoa.
Hali hii itakutesa kwa muda mrefu na inaweza kuathir afya yako.
Nakushauri umalize kwani yeye alianza !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.