Recent content by freekick

  1. F

    JamiiForums Tanzania Jackline Wolper : 2020 nitamuunga tena mkono Lowassa

    Kwani kunuka huko, hakufai kukitumia?? Mtoto hapiti? M haipiti??
  2. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Kwanini usi admit kwamba imeshindikana??
  3. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Maswali ya kitoto yanakuwa na majibu ya kitoto... . . . Sasa mnatuwekea manesi mazahnati uje useme apa maswali ya kitoto....
  4. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Ndio ujue sasa, hizo ndizo huduma unazosema mmeziboresha. Jambo jingine, hivi zahanati kiutaratibu inasimamiwa na muuguzi au mtabibu???
  5. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Hivi,,, ni lini bibi, babu, mmama, wa huku kijijini poorini shinyanga atakwea hiyo bomberdier?? Hizo ndegee,, ni sawa serikali imajitahidi lakini, zinauwezo wa kuhudumia watz wangapi?? Wtz wangapi wako penye na uwezo wa kuafford safari za hizo ndege?? . . . Tunge booreshew huduma muhimu za...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Ahahahaa. Labda wewe unatibiwagwa agakhan bosi wangu, au mhimbili au mwananyamala.[emoji20] [emoji21] . . . Wakati ukienda zahanati ukiwa na kidonda mtumishi anavaa marboro... Sasa kati ya mimi na wewe, nani mwongo??
  7. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    [emoji20] zitaboresha nini??
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Hivi, ben rabiu saanane kupotea, kuna wauma watu?? Kama inauma, je hawa askari kuuwawa nako kunauma??
  9. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Vitanda hivo vimegaiwa nchi gani?? Hao ndio walimu waliomaliza vyuo tokea 2015?? Ukienda zahanati hata panadol hamna, madaktari wanaogopa kusema hakuna dawa sababu tunawalaumu wao kwamba wanauza dawa kumbe, hakuna.... . . . Hata gloves za kuzalishia hazipatikani unasema vitanda vimegaiwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    Hoja za maana ni kutumia bajeti ya mwaka kutengeneza reli kama nyingine ilivyotumika kununua vibomberdier viwili na kushindwa kuajiri, kuboresha huduma za afya, nk[emoji21] [emoji21]
  11. F

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana Hoja Binafsi kuhusu Utekaji Yakataliwa

    [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
Back
Top Bottom