Recent content by Freedon Rwekaza

  1. Freedon Rwekaza

    JamiiForums Tanzania Ya moyoni: Msafara wa awamu hii 'unakera'!

    Nendeni taratbu kuna interpol humu nawaskilzia mjimix
  2. Freedon Rwekaza

    JamiiForums Tanzania Kichekesho: Eti msanifu wa UKUTA ya CHADEMA ni John Mrema!

    Hakumaanisha kuwekeza ktk mitandao isipokuwa wingi wa wanaopata hbr motomoto ni wale waliopo kwenye mitandao hii ingawa %kubwa IPO nje ya mtandao,tuendane na hali iliyopo kimaendeleo Pili chadema ni kweli wanawashika sana koo serikali na ccm yenyewe ambapo wamepata wkt mgumu tangu uchaguzi mkuu...
  3. Freedon Rwekaza

    JamiiForums Tanzania CCM kuanzisha TV na redio zao

    Nani kakuloga kwa hiyo xtata Ujui Uhuru FM,TBC FM na TV ni mali ya chama? Ikumbukwe tanzania ni ya chama kimoja nacho kijulikanacho km CHAMA CHA MATATIZO ''CCM""
Back
Top Bottom