Recent content by fredy mziray

  1. F

    Ombaomba hawa watafutiwe suluhisho la kudumu.

    Ndugu watanzania wenzangu, nasikitika kuwaona ombaomba wengi katika eneo la Ubungo mkoani Dar es salaam na maeneo mengine ya mikoani wakiwa katika maeneo hayo kila siku. pamoja na kuwasaidia fedha kidogo msaada huo hautoshi kuwaondoa pale walipo kutokana na hali zao za kutokuwa na uwezo wa...
  2. F

    Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

    propaganda zenu zisizo na mashiko hazituvunji moyo masomi. CCM imepindua maendeleo na kuleta umaskini na sasa inajishughulisha na CHADEMA. MWISHO WENU UMEFIKA.
  3. F

    Vijana, msifanye makosa kama niliyofanya. Kujiunga na CHADEMA ni sawa na kucheza karata tatu!

    kama ulitegemea kwenda kula kodi za wananchi CHADEMA hatufanyi huo mchezo mchafu. ni lazima ukimbie.
  4. F

    Jimbo la same magharibi kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Wanazuoni na wasomi mbalimbali toka katika vyuo vikuu nchini wakishirikiana na makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na wananchi wote wataelekeza nguvu zao zote kulikomboa jimbo hili ambalo ni sawa na halina mbunge kwa sasa kutoka katika ukoloni mpya wa chama cha...
Back
Top Bottom