Recent content by Fredrick Sanga

  1. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya tutumie ile ya Warioba badala ya kuteketeza pesa

    Yaani Tume ya Warioba ilishamaliza kazi. Ila tuna shida! Kuuza uta wa mtu ni sawa na ushoga tu.
  2. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro acha kupotosha umma, Tunataka Katiba Mpya iwe na uwezo wa kutatua changamoto zetu. Ikiwezekana kumshtaki Rais na Mawaziri

    Hiyo ni katiba butu, Huyu Jamaa hajui kitu kuhusu katiba iliyojitosheleza. Inang`ata. Hata yeye asingepata hiyo nafasi. Ana uwezo mdogo sana
  3. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Rwanda wamejishtaki wenyewe ICC kwa kifo cha Kizito

    Ooooh mama Africa!
  4. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Naam! Huyu ndiye Dkt. Bashiru Ally, mpenda makongamano na hoja. Wanasiasa wamzungumzia…

    Niseme wazi tu, ni msikilizajia sana wa uchambuzi wa Dr. Bashiru, na huwa na walinganisha na wengine wa ngazi hizo. Niseme tu wazi CCM imefanya uteuzi ulionigusa, na kuanza kukumbuka zamani nikiwa TYL, na moto uliokuwa unawaka. Huyu ni mchambuzi wa mambo yakinifu, na chama chochote kingemuwahi...
  5. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima kujibu leo kuhusu madawa ya kulevya

    Duhhh, Ewe Baba wa Mbinguni, Najua unayaona haya, Ingilia tu kati sasa Baba, umalize sasa.
  6. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Hongera Daktari Mwinuka, Hongera sana
  7. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania TUCTA na vyama vya wafanyakazi acheni wizi imetosha sasa wakati huu na awamu hii

    Hii kitu hii imekaa vibaya.
  8. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli uzinduzi wa hosteli Chuo Kikuu Dar Es Salaam (UDSM)

    Hapa sasa sawa, kinaeleweka. Safi sana.
  9. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asakata Rhumba baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hosteli UDSM

    Ngoma anazigonga vizuri, nimekubali.
  10. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

    I see, hivi hapa kuna mini, sijaelewa. Watoto wananyimwa hela yabkula?
  11. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

    Hahahahahahahahaha
  12. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

    How does the economic openness of a country affect its distribution of income? How does the level of democracy affect a country’s distribution of income? These questions are addressed in two literatures. The effect of economic openness on the distribution of income is studied in the literature...
  13. Fredrick Sanga

    JamiiForums Tanzania Demokrasia katika nchi masikini ni umasikini

    Aaa Yerico, Eti umesema wanauta udicteta gani? Kenya sasa wanajitegemea 100%, utamu wa katiba nzuri huo.
Back
Top Bottom