Hata kama yeye alikua ni mwizi adhabu haikua sahihi ikiendelea namna hii tutapoteza watu wengi hata wasio na hatia mfano wale wezi wanaokuibia na kuanza kupiga kelele kuwa wewe uliyeibiwa ndio unayetaka kumuibia,sasa kama tutakua tunachukua hatia mkononi situnaweza kuua watu wasio na hatia.yani...
Mzee mwanakijiji nashukuru sana kwa maelezo mazuri kwasababu hatubishan bali tunaelezana,hiv maradona halifunga gori gani vs england then watu waengland walibehave kama sisi,hatuna uvumilivu kisoka embu angalia hata tabia za wachezaj wetu zilivyokuwa uwanjani yani sio professional players kabisa
Mimi naona source ni huyo mwanafunzi maana ukweli ni kuwa ukiwa na tabia nzuri hakuna mwalimu atakayekupiga vile,wengine tumesoma shule za jeshi tumeona watu wakipigwa zaidi ya ile na kuroll kwenye tope na mitaro lakin sio wote ni wale watukutu,wengine tumetoka hata hatujawahi kukutana na hivyo...
Ukimwaga maji juu yatarud tu chin hii n kwasababu ya nguvu ya dunia kuvuta vitu towards itself,can u tell us what exactly happens to create horizon?.Mwisho ningeomba tuheshimu imani za mwezetu hata kama kwako si kitu maana lugha ilotumiwa na mwanzisha mada sio nzuri kwa kwel kama yeye ni mtanzania.
Kama dunia ingekua flat nadhan tungekua na edges yan mwishon mwa hiyo flat surface lakin pia kuhusu maji kupanda mlima ni simple mlima always ni elavation from the earth's surface that means away from the earth therefore gravitation force g inaforce kila kitu kuvutwa kwenye dunia hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.