Recent content by Fredrick J Mbwambo

  1. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania CCM haitaanguka bila kusaidiwa

    Shalom! CCM haitaanguka yenyewe, Bila kusaidiwa kuanguka. Tusipowasaidia, wataendelea kutawala. Na kwa uzoefu tulionao, hawajali watu wanawaza nini ili washinde. Watafanya watakacho ili waendelee kushika dola. Walivyoweza kujipanga kwa nguvu baada ya sakata la Lowassa mwaka 2015, tulipaswa...
  2. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za rushwa ndani ya mchakato wa CCM: Funzo kwa Taifa zima

    Kama mwanachama wa chama cha upinzani, nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa siasa ndani ya vyama vyote, si kwa ajili ya kushangilia mapungufu ya wengine, bali kwa kutambua kuwa mustakabali wa Taifa letu hutegemea afya ya kisiasa ya kila upande. Hivyo basi, matukio yanayoripotiwa kutokea...
  3. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa India wazungumza na Mo Dewji

    Ukurasa rasmi wa Twitter wa Ubalozi wa India umesema watamaliza mi vutano iliyopo baina ya raia wake na kampuni ya MeltGroup kupitia mazungumzo. PIA, SOMA=>Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL
  4. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Freeman Mbowe

    WARAKA WA WAZI KWA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MH.FREEMAN A. MBOWE Mh. Mwenyekiti pole na majukumu ya ujenzi wa demokrasia nchini, Zaidi pole sana na shughuli za uchaguzi zilizokoma takribani wiki nne zilizopita huku majeraha ya ukiukwaji mkubwa wa demokrasia, uvunjwaji wa haki za raia, ndugu...
  5. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania Mamia warejesha kadi za CCM - Kilimanjaro. Umaskini watajwa kama Chanzo cha kukosa imani na chama hicho

    Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa. Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku...
  6. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

    Uzushi. He's safe and sound
  7. Fredrick J Mbwambo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nipo tayari kupambana na Mathayo David au Angela Kairuki Ubunge Same Magharibi endapo chama changu kitanipa ridhaa

    Wakuu Wasalaam! Natumai mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu tukufu. Leo napenda kuwajulisha rasmi azma yangu ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Same Magharibi kwa tiketi ya Chama Changu cha CHADEMA . Mimi Fredrick Justine ambaye ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Back
Top Bottom