Recent content by freddjj

  1. freddjj

    Binti atembea uchi mitaani bila kujulikana baada ya kupaka rangi ya jinzi

    Bongo wataalam sana wa kuiga hii hata kama ni hadithi ya kutunga hapa mda si mrefu utaiona tu live
  2. freddjj

    Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Kachaguliwa ni kwamba hajapitishwa tu.
  3. freddjj

    Fahamu namna ya kuperuzi JamiiForums BURE

    Kachaguliwa ni kwamba hajapitishwa tu.
  4. freddjj

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    mkuu kwani lilipokuwa likivunjwa kwenyn chaguzi zilizopita alikuwa akiongoza nani?
  5. freddjj

    Natafuta studio, high quality ya kurekodi nyimbo za injili

    naamini nyimbo zangu ni nzuri kama ntapata studio, na producer mwenye viwango vya ukweli, nimeona waimbaji wengi wanarekodi za mitaani na nyimbo zao zinaishia tu mtaani kwao, cjui tatizo nnini. nisingependa initokee ivyo, natamani kutoka.
  6. freddjj

    Natafuta studio, high quality ya kurekodi nyimbo za injili

    ni mimi mwenyewe mkuu kama solo artist.
  7. freddjj

    Natafuta studio, high quality ya kurekodi nyimbo za injili

    wadau kwa waelewa wa studio za kurekodi nyimbo za injili yenye viwango vya hali ya juu mnisaidie kuijua na bei zake ikiwezekana. ...shukrani kwa msaada na ushauri wenu...
  8. freddjj

    Yerusalemu Iwe makao Makuu wa Palestina - Serikali ya Tanzania

    Huo undugu wetu na wapalestina unatokea wapi? hata kama nyerere alikua rafiki na palestina ni yeye si TANZANIA YETU WALA WATANZANIA. Hata ulimwengu mzima ungeungana leo na palestina hakuna atakaeweza kuiondoa YERUSALEMU KATIKA MIKONO YA ISRAEL. ISRAEL NI TAIFA TAKATIFU LA MUNGU. TENA ALAANIWE...
  9. freddjj

    Kwa heri mie nimeamua kujinyonga-Wakili Nyaronyo Mwita Kicheere

    si ajabu akijinyonga! Hata shujaa anapoona kaekWa kati na hakuna uwEzekano wa kuokoka huamua kujimaliza kuliko kudhalilishwa na mahasimu wake. Kauli ya pinda, jumlisha vitendo vYa kinyama wanavyotendewa raia wema Kwa kutetea haki zao vinachangia kutishia amani ya wasema kweli.
Back
Top Bottom