Mnajisumbua bure na kupanga tafiti,
God is under control ivyo aibu itaendelea kuwapata tu na Kila Kiki mnayopanga itajulikana maana mnashindana na Mungu,
Jiwe haliwezi kuwa keki!
Our president could have sent a representative eg.minister,US ambassador himself sent only an assistant to represent him...tumekabidhi nchi kwa watu washamba, this statement sounds true now
Uyu tayari ana Permanent Head Distortion(Phd) ivyo mnapoteza muda kumjadili,kwa madongo yote aliyopewa siku anatimuliwa uwaziri ni mwendawazimu tu anayeweza kuvumilia
Polisi yote iilihamia Mbeya,
Mngewaacha waandamane mngeona moto wake,alipewa ulinzi mkubwa kuliko Jiwe..
Mbeya Sugu kapata kura nyingi kuliko Magufuli na ndo kinachowauma,Magu Mbeya hapendeki
Serikali ina mihimili mitatu;
Mahakama/judiciary,
Bunge/legislature,
Na Serikali kuu/executive,
Ivyo wewe ndo mjinga tena mbumbumbu haswa usiejua kuwa hakimu aliemfunga Sugu yuko serikalini pia,
Ujinga wenu ndo mitaji ya wezi walioko ccm.. Badala ya kumuuliza m/kiti wenu zilipo tril.1.5 now...
Kauli ya Uhuru Kenyatta kuwa maendeleo ya watu kwanza vitu baadae imetrend sana,Odinga sio mjinga kukubali maridhiano na Uhuru.
Uhuru kaongeza kusema kuhusu uhuru wa kutoa maoni na ametambua umuhimu wa democracy kiasi cha kufananisha na daraja la Maendeleo,Uhuru hakuwahi kushaini namna hii...
Ujinga ni mzigo...
Wewe hujui kuwa hizo kamera ni mali ya umma/serikali na zimenunuliwa kwa hela yetu ya kodi!?
Raia yoyote ana haki ya kuhoji zilipo kamera hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.