Recent content by fred_kundi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Kwahiyo ni kwasababu kitabu kimeandikwa yupo ndio maana unaamini na aliyeandika ni mu kama ww?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

    hizi zote ni stori za kipuuzi tu kuanzia ukristo uislamu na hata za mizimu zote ni ujingaa kfikiria kwa namna hii unajua ni kwanini ilikua rahisi watu kuacha asili zao na kuwa wakristo? sababu waliokua wakiabudu walitaka kuona matokeo ya ukwelii lakini haikotokea mfano vita ya kinjekitile...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anaolewa

    lijana angu jana ulivyokuwa hupatikani nikajua umejinyonga[emoji23][emoji23][emoji23] ndio mademu walivyo esp wanawake wa tanga na zanzibar huwa wanaolewa na umri mdogo tena huyo 24 kachelewa sanaa at our age bro inatakiwa tutumie akili sana kuliko emotion ila itapita tuu ndio unapata...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

    kaka nina demu kama huyu hajawai kusex uume ukaingia na ni nurse pia huyo wako anafany kazi hospital gani? usikute tunashare
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Nimesoma mitazamo ya watu kibao kwenye huu uzi hadi sasa sijapa jibu kwa maana najiuliza maswali kama yako Sitaki kuamini sayari zote gaĺaxy zote universe nzima ni binadamu pekee ndio tunachomwa Halafu walioandika bible waliiandika kipindi hakuna elimu yoyote ndio maana wamesema mungu kaumba...
Back
Top Bottom