Recent content by fred88

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Msaada kwa anaejua chimbo la vifaa vya pikipiki aina zote kwa bei za jumla hapa dar es salaam
  2. F

    JamiiForums Tanzania Driving licence checking request

    Mkuu fuata maelkz ya mr johng itfnguka kama mm nlvyfnya
  3. F

    JamiiForums Tanzania Masters in environmental health and safety management

    Habari za siku ndugu Well naulizia kama kuna chuo chochote hapa TZ ambacho kinatoa masters ya course tajwa hapo juu na ada yake kwa ujumla Sio mbaya pia kama mkanisaidia kunijuza kama kuna chuo chochote cha nje ya nchi ambacho kinatoa course hiyo tajwa ngazi ya masters Natanguliza shukrani
  4. F

    JamiiForums Tanzania Driving licence checking request

    Ok
  5. F

    JamiiForums Tanzania Driving licence checking request

    Ooh thankyou mzee Iko active Thnkyou
  6. F

    JamiiForums Tanzania Driving licence checking request

    Habari wadau wa jf Mwenye kujua menu ya kucheki driving license kama inadaiwa au gari kama inadaiwa naombeni mnijuze kwa njia ya simu(tigo) Nmjrb kucheki webste nkkta these menu *152*75* lkn kila nikijarbu inagoma...mwenye current means of checkng anisaidie Niwatakie weekend njema
  7. F

    JamiiForums Tanzania Video graphics card chip

    Ook shukran kwa mchango wenu maboss wangu
  8. F

    JamiiForums Tanzania Video graphics card chip

    Anhaa ook mkuu Lbda kuna possblty ya kuweza pata msaada wa wapi znapouzwa hzo video grphc card..kama una duka unaloljua plus bei zake
  9. F

    JamiiForums Tanzania Video graphics card chip

    Nimezngatia hilo mkuu kabla ya kudownload ...ila bado naona shida kdgo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Video graphics card chip

    Habari Nimeshusha mzgo wa fifa 19 muda si mrefu, nime~install na kuwza kuifungua the game but it tells me directx error...nmejrb kudownload directx 11 bila mafanikio Mwenye ujuzi wa haya mambo naomba anisaidie.. Specfction za my pc Lenovo thinkpad T430 Processor intel i5-3320M 2.60 GHZ Ram 8...
Back
Top Bottom