This is Frateline ,
Hi Guys kutoka Helsinki
Kwa kweli jamii forum hapa mnaonyesha uzembe hii sio mada ya kujadili ni majungu tu, Kwanza hakuna asiyejua ni kiasi gani Issa Michuzi anatuunganisha watu wengi tunaoishi ughaibuni, breaking news zake zinatufanya tuwe karibu na home, kwanza mimi...