Recent content by fransoo

  1. F

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Mi nakumbuka mbali sana mkuu enzi hizo sikukuu lazima tuende empare ama avalon cenema waacha kabisa..
  2. F

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    Mawazo mgando hayo kuwa walioba kamzidi jk duh!
  3. F

    Msaada: Kusafiri kutoka Tanzania hadi Ghana-Border kwa border

    Duh hiyo safari mjomba si bora ukwee mwewe?
  4. F

    Police Ferry Magogoni waendelea kudhalilishwa

    Ndio zao hawa majamaa angalau sio wote mambo hayo..
  5. F

    Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

    Bora wewe jaji waambie kweli hawa jamaa zenu.ndio tatizo la nchi hii..
  6. F

    Kingamuzi cha continantal wizi mtupu

    Hicho kin'gamuzi kitajua cha kianalog hicho
  7. F

    Ndege iliyopotea kama ingekuwa ni ya Tanzania?

    Kakaaa eeeh we sio muhoga kweli duh!
  8. F

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Acheni matusi elewasheneni nyie kila mtu Aamini anacho amini sio matusi na kashfa za dini zenu sio vizuli jengeni hoja za maendeleo sio matusi.ni hayo tu watanganyika
Back
Top Bottom