Recent content by frankval

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Wew unaamin nin boss?
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtamkie X wako neno lolote hapa

    Dadeki watu mmejaa nyembe kishenzi Ha ha ha ha
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    .Imani ni bora kuliko sara. Na iwe jumapil njema na ya kupendeza mabosi wote.
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Mkuu mbona unatak kutumia nguvu kubwa kumuelewa jamaa?we mkubarie tu ivo ivo kiongozi
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Dada sis ndo bin-adamu ukifaul tutasema umebahatisha na ukifeli tutasema tulijua tu
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Sio aoneshe kiwanda mkuu bali aoneshe shamba kwan haiwezekan amiliki korosho nyingi ivo alaf shamba hana
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

    Ha ba ha ha naona umetia na kiunganishi na kionjo kidogooo Umetisha mama la mama
  8. F

    JamiiForums Tanzania Niligonga mtu na Gari Usiku Je nimueleze huu Mkasa?

    Ila umetisha san boss tena sana
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado ninakukumbuka Rose

    Huzuni nyngne ipi bosi?
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekuwa siku mbaya sana kwangu

    Mimi sina mkuu
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imekuwa siku mbaya sana kwangu

    Kuna watu unaoogopa mpk kuwashauri kwa mambo wanayoomba ushaur. Kweli umri ni namba tu dada angu
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Kujenga mahusiano/urafiki na mapenzi haya ni makundi ya Wana Jamiiforums ambao ni vyema uwafahamu kwa msaada zaidi

    Kwa kujificha nyuma ya batani za cm na keyboard za komputer ndo tuweze kuwataj hao watu kwel? Plus kutumia id fake duh,, wallah jf sihami hata kwa kupimwa mkojo
Back
Top Bottom