Recent content by FrankRoosevelt

  1. F

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Sawa kiongozi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Nimeweka kambi nasubiri episode inayofuata. Series nzuri sana initia hamu kujua kilichojili.maswali ni mengi........
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Very interesting. Shilling "hamsini hamsini" nyingi zilizokusanywa kwa ajili ya pole ya bwana Kimaro na ile "hamsini" nyingine iliyodondoka kutoka kwenye kirobo kule korongoni....................endelea kutupa story tunasubiri
  4. F

    JamiiForums Tanzania AJALI: Magari manne yagongana na kusababisha vifo vya watu 4 na majeruhi 6 ktk msafara wa TAMISEMI

    RIP na poleni sana wafiwa. Tunawaombea majeruhi wapone. SPEED YA MALORI YA MCHANGA KATIKA BARABARA ZOTE ZINAZOINGIA MJINI IDHIBITIWE.....
  5. F

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    This is serious plagarism..... We need to act now. Hawa jamaa nahisi wana ugojwa.. Hawawezi waka wanaji-brand kila kitu kilichokizuri
  6. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Ndalichako aibana NECTA kuhusu matumizi ya GPA

    Hatena mfumo elekezi wa kisera nod maana kila kiongozi anakuwa anakuja na mitazamo yake ambayo anataka ifanyiwe kazi! Jaribu kuangalia kuna waziri alikuja akaunganisha masomo yote ya sayansi nakufuta baadhi ya masomo ikiwamo michezo, tulikuwa na division kwenye matokeo ikaonekana mfumo haufai...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Ya kuambiwa changanya na ya kwako halafu Tafakari!:dance:
  8. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    Hali ni tete!! Athari za huu mgomo ni kubwa! Tusubiri tuone
  9. F

    JamiiForums Tanzania Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Bila hata chembe ya ushabiki wa kichama nawiwa kusema kuondoka kwa ZZK kwa kiasi fulani kutaishusha CHADEMA. Sipendi kuamini kila kitu kinachosemwa kuhusu usaliti wake ila naamini zaidi katika utendaji wake "kama mpinzani ndani ya bunge". Alikuwa ni jembe kwa kweli na kama alivyosema PASCO hapo...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Niliaibika nilipoambiwa nifungue kwa sala kwa Kiingereza mkutanoni Ughaibuni

    joshua_ok Yaaani nimecheka, kama nakuona vile! Asante ndugu kwa ushauri.
  11. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    Sure hii ni counterattack! Haikutegemewa na Zito hata wafuasi wake. Nadhani ilipangwa kwa umakini na kwa siri kubwa.
  12. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    Kwanini kila kitu kinaenda haraka hivi?? Hukumu na kufutwa uanachama immediately, kamati kuu haimjadili tena?? comfused!!!:shocked:
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Hiyo ni kweli kabisa. Mafisadi wanalipa kisasi sasa.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya traffic ni mizuri kuliko majeshi yote?

    Usisahau michepuko kadhaa pia!
Back
Top Bottom