Recent content by franknelson

  1. F

    JamiiForums Hivi unamtongoza mwanamke wa mjini unatuma vocha ya buku? Mngejua mnavyotukanwaga

    Yaani wewe utongozwe unawaza kupewa mihela huo so us**ge
  2. F

    JamiiForums Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Tuishi kama mashetani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. F

    JamiiForums Nani anamuelewa rais John Magufuli, anisaidie uelewa?

    Aliwaambia watumishi ndani ya miez miwili atarudisha haki zao ikiwamo kupanda madaraja ya mishahara aliyoyasimamisha kinyume na sheria xa Utumishi Wa umma lakini mpaka Leo wanaishi kama mashetani.tunaisoma namba Sent using Jamii Forums mobile app
  4. F

    JamiiForums Uhakiki wa vyeti (RITA) ni utata mtupu

    Hata mzazi asiye na pesa huwakagua sana watoto wake akijifanya msimamizi bora kumbe halitaki kuwahudumia wategemezi wake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    JamiiForums Kwa waliofanikiwa kuapply Sokoine University of Agriculture (SUA) tuelekezeni

    Mi nimefanikiwa lakini ili uendelee na application lazima ulipie kwanza 25000 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom