Recent content by franklin mariki

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa sana

    Lete mrejesho ilikuaje?? matarajio yamekuja kama hivyo
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

    Inategemea na hicho kitu chenyewe
  3. F

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    EMBU SASA TUPE MREJESHO........ULITHUBUTU? NA KIMEKUPATIA MAFANIKIO KILIMO CHA MPUNGA?!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Ni heka siyo hekari.......Ekari moja ni kilo 600 mpk 1200 mavuno......heka moja ni sawa na Ekari 2.5 sasa hapo jipigie mahesabu mwenyewe.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Fanya mapinduzi ya kiuchumi kwa mtaji wa laki tatu

    Hakuna jambo lisilo na changamoto.....kila kitu kinachangamoto zake, huwezi kujua changamoto kama haujafanya!!! Hili ni bonge la idea.......umesaidia MTU kuwa na mwanzo wa kuanzia.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Kuna Sasso, Malawi, na kloiler hao sasso ni wazuri kwa kukua haraka sana Ila kwenye utagaji siyo wazuri kivile na kloiler kwenye ukuaji siyo wazur kivile Ila wanataga mayai vizuri na mazuri. Chagua hapo ila nakushauri chukua kloiler
  7. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

    Ni sahihi sana cha msingi ni usimamizi uwe mzuri tu........
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipate mtaji na kianzio cha maisha?

    hahahahaaaaaa
Back
Top Bottom