Recent content by frank shilanga

  1. F

    Rais Magufuli amesema akitoka Arusha anakwenda ziara Mkoa wa Iringa

    Unastahili maombi kabsa,kwa fikra hizo...daaaah hatari sana!
  2. F

    Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Wewe vyeti vya makondo vinakuhusu nini na vina msaada gani ktk maisha yako
  3. F

    Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Umebeba nafsi ngapi za watanzania hapo ambao hawataki kujua
  4. F

    Rais Donald Trump asitisha ajira zote za umma kwenye serikali kuu isipokuwa jeshi

    Tunachofananisha ni mitazamo yao juu ya nchi wanazoziongozi,they have the same ideology!
  5. F

    Rais Donald Trump asitisha ajira zote za umma kwenye serikali kuu isipokuwa jeshi

    Huyo jamaa ana sifa za kuwa milembe for sure!!
  6. F

    Rais Donald Trump asitisha ajira zote za umma kwenye serikali kuu isipokuwa jeshi

    SAsa ww kama unadhani na hauna uhakika ulikuwa na haja gani ya kukosoa mawazo ya mwenzi,usipindishe ukwwli,mh.Trump kazuia ajira za ndani isipokuwa zile za kijeshi as our president did....
  7. F

    Hivi Kwanini Watu Hukamatwa Wakati Upelelezi Haujakamilika?

    Suala la kukamatwa na kupelekwa rumande haliwiani na suala la upelelezi,bali hutokeA pale wanapohisi umetenda jambo ambalo ni kinyume cha sheria....Ila suala la kupelekwa mahakamani ndo linategemea kukamilika kwa upelelezi wa kosa husika
  8. F

    Zaidi ya Nusu ya Wabunge wa CHADEMA wanamkubali Rais Magufuli na wanaunga mkono utendaji wake

    Kila mtu anawajibu na haki ya kuunga mkono jitihada za serikali katka kuliletea maendeleo taifa letu,no matter yu ccm ama cdm....Maendeleo ni ya wa Tz wote.....Hongereni wapinzan mnaowatumikia wananchi wenu ktk kuwaleta maendeleo na aman!
  9. F

    Uwanja wa Kaitaba: W/Mkuu kuungana na wanabukoba kuomboleza vifo vya wahanga wa tetemeko la ardhi

    Daaaaaah,hongera lakn kwa mawazo yako Unauhakika kama hayo hayajafanyika
  10. F

    Uteuzi wa Emmanuel Buholela kwenda ikulu

    Hard work pay,buhohela ni mchapaka ,fusaro is nxt!!
  11. F

    Mwanasheria Mkuu wa serikali akataza CHADEMA kutumia neno UKUTA katika Oparesheni yake

    Kasome kifungu ulicho andikiwa afu urudi tena kutoa fikra zako
  12. F

    Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM

    Wafahamu watu 6 walio onja hasira za Mwalimu Nyerere , 1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.... 2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo... Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme...
Back
Top Bottom