Recent content by frank shayo

  1. frank shayo

    JamiiForums Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    mi jana usiku nilikuwa kibarazani mida ya saa tisa nyumba yetu iko karibu na ufukwe wa bahari basi ulivuma upepo wa ajabu sijakaa vizuri nikaona samaki wanapeperushwa na upepo niliogopa ila niliambulia wawili watatu.
  2. frank shayo

    JamiiForums Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    duuh!!!. ndo maana huku kwetu maji yamekatika
  3. frank shayo

    JamiiForums Naombeni msaada jinsi ya kuflash simu

    Niko kwenye daladala naelekea posta, mimi nimekaa ila kuna dada pembeni yangu huku akiwa amebeba begi wengine huita kipimajoto basi begi la huyu dada kalitundika begani ila kitako cha begi kaliegemeza juu ya bega langu kila nikijaribu kusogea nilikwepe ndo kwanza na yeye anasogea. Begi lenyewe...
  4. frank shayo

    JamiiForums CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

    Cdm mmejiingiza kwenye mtego waccm ila mna nafasi ya kurekebisha mambo mpeni zito nafasi hata kama alikosea yeye ni binadamu atajirekebisha akihitaji kugombea urais msimwekee vikwazo taratibu za kugombea ndizo zitakazoamua apite ama asipite baada ya kura nae alishakuwa wazi kuwa akishindwa...
Back
Top Bottom