Recent content by frank Sema

  1. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea huko Libya

    Yah mi sishangai kwan walitaka wenywe labda liwe fundisho kwa nchi nyingine kuwa mkimpta mtetezi mlinden mpka tone lako mwisho la damu na sio kumsaliti na kushangilia.
  2. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea huko Libya

    Kwan wao walivyomsalit Gadaff waliwaza nn? Hayoo ndio mavuno? Ukipanda haba utavuna haba!!!
  3. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    Ukitaka kujeng golofa lazima uchimbe halizin kwa ajili ya msing himala. Hivy at ikiwa elf tano poa sin shida Kam badae nitakaa zang gholofan. We unayetumia dola kahamie inakopand au USA ok.
  4. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Namanisha hivi Kam unangalia mvuto kwa wanaume hautampata mwanaume mweny mvuto.... Ila Kam utatafuta anayejua thaman ya mwanamke we mwenyew utafurah n kunikumbuka
  5. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Xjakuerew? Kwamba hujaelewa ninachoongea au vip
  6. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Poooooole uenda tatzo unatafut mvuto kwa wanaume hutopat. Ila anayejua thamani ya mwanamke mwenywe utanikumbuk.
  7. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Mnaoondoka CCM na kutupa maneno jifunzeni toka kwa Rais Joao wa Angola

    Wangekua wauaji usingelikua na kuandika hivyo..... Wangekua mafisad kama unavywaza wew ungelipta hat hiyo smartphon unayotumia...... Wangelikua na Roho mbaya ungelikua mkimbizi wew nchi za watu..... Wachaw usingelikua unajitmbua kwa ss ungelikua zezet....... Na madikteta hata uhuru wa kuropoka...
  8. frank Sema

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    KIUKWELI HAKUNA. WANAUME ANAYEWEZA KUCHEPUKA KUTOKA KWA MWANAMKE MNYENYEKEVU. Japo weng wao huwa WANYONGE badala ya kunyenyekea ndio maan mnasem hivy ulivyouliza hapo [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
  9. frank Sema

    JamiiForums Tanzania KWA NN MABINT WANAPENDA WENY FEDHA NA KUWAACHA WENY MAPENZI YA DHAT?

    Walio wengi wa wasichana wanakibilia peny kipato na kuwaacha wapendwa wao wakiyalaan mapenz. Na wao kwa bahat mbaya walioweng hawafanikiw kilichowapelek kule tatzo nini? Kufunguka ruksa ila xo mapovu
Back
Top Bottom