Recent content by FRANK JOEM

  1. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    Kweli atusaidie
  2. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    OK assante sana wazo nene
  3. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    OK assante
  4. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    Assante sana mkubwa wangu
  5. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    Assane sana wazo zuri ambalo nilikua sijafikilia
  6. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    Assante nakuelewa mkubwa
  7. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    Assante mkubwa wangu
  8. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    mkubwa wangu niko mkoani na ni wirayani kilicho changamsha ni makazi ya watu ,wanafunzi wa chuo na sec pia pana barabra kubwa ya kuunganisha mikoa na mkoa
  9. FRANK JOEM

    Nifanye biashara gani

    Naitaji mawazo yenu ndugu nina kazi ya kuniingizia kipato kidogo sana ambacho hakiwezi kusongesha maisha ya mimi na familia yangu kisipo pata sapoti kutoka vyanzo vingine .......Nina kiasi cha TSHs 2,000,000/= nilipo kumechangamka kiasi lakini najaribu ku plani biashara nakwama mawazo yenu kwa...
  10. FRANK JOEM

    Naomba kufahamu matumizi ya neno Hekima na Busara

    Naombeni msaaada wa jinsi ya kutumia maneno haya mawili HEKIMA na BUSARA yamekua yakinichanganya katika matumizi kushindwa kutofautisha lipi litumike wapi. Itakua vizuri ukinisaidia mfano.
  11. FRANK JOEM

    Mtoto afariki kwa kung'atwa na panya

    Ukiangalia vizuri kwenye hiyo tarifa utagundua kua mama mtoto anadai ilipo fika saa 5 alipitiwa na usingizi mzito
  12. FRANK JOEM

    Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa

    Kazi nzuri assante sana mkubwa wangu Nimeng'amua
  13. FRANK JOEM

    Nitaweza kujenga nyumba kwa Milioni tatu?

    Bei malanyingi inaendana na maeneo unayo fanyia ujenzi ukienda Mafumapatali na chenchi inabaki ya kununua Feniture
  14. FRANK JOEM

    Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa

    Ni miongoni mwa misemo ya kiswahili ( Metheli) ya wahenga sina uhakika kama karne hii yupo alie kuwapo kabla ya ujio wa methali hii nimefundishwa darasani kwa levo zote za elimu yangu na pia nimefundishwa na walimwengu nje ya darasa lakin bado tafsiri imekua tatizo kwangu tunatofautiana uelewa...
  15. FRANK JOEM

    Unatambua kua Wanawake wana uwezo mkubwa wa kukumbuka

    :D:D:D daaah pole sana mkubwa wangu wako vizuri kuifadhi matukio muhimu
Back
Top Bottom