Recent content by frank joel

  1. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Kwel kabsaa yaan hawa mtu kwenda kwao hata akienda mara mia si ni kwao Mcheza kwao Hutunzwa Rais wetu yuko tatizo walkuwa wamezoea kudeka
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Mcheza kwao hutunzwa
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Ukiona Jaji Mkuu anateuliwa na Rais Na mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi naye anateuliwa na rais ujue basi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Au ww umewasahau wazee wa masanduku ya kura
  5. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Kwan katika historia ya Tanzania kuna rais yeyote ambaye amekaa madarakani miaka 5 Wote waliopita wamekaa miaka kumi Au unadhan ye hapapendi ikulu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    We can't change anything
  7. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Unajua waswahili hawakukosea waliposema Mjenga nchi ndiyo mboa nchi Hata nchi nyingi zenye machafuko uliibuka uchochezi wa chini chini wakadhan mzaha Mwisho wake machafuko yakaanza Hakuna binadamu asiyekosea lkn licha ya hivyo amebakiza miaka 9 kwani atashindwa kutembelea mikoa yote Tanzania kwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

    Ila Hatuwez kubadilisha chochote hata tukisema make yeye kila ktu anajipangia mwenyewe Lkn bado ana miaka 9 sasa sidhani kama ni haki kumlaumu na wakati ndo amemaliza mwaka mmoja Kila rais aliyepita ana mazuri na mabaya yake kwasababu ye naye ni binadamu anakosea Ila ukianzaa kuwambia wadau na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wenye Followers wengi 2016.. KIBA HAYUPO TOP 5

    We subiri tuone Wimbo wake mwingine utakao kuja ukiwa mbaya watu watasema alibahatisha kwa hiyo inabidi akazane
  10. F

    JamiiForums Tanzania Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

    Mbona zaWCB ndo zina views sana ndo wengi ndo kusema bongo flava imehamia WCB au mi cielew
  11. F

    JamiiForums Tanzania Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

    Mbona za WCB ndo zimetazamwa sana ndo kusema bongo flava iko WCB au mi cielew
  12. F

    JamiiForums Tanzania Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

    Mbona za WCB ndo zimetazamwa sana ndo kusema bongo fleva iko WCB au mi cielew
Back
Top Bottom