Saudia ambako.ndio.dini.ya kiislam.imeanzia wameanza kuuza pombe na mwaka.huu mwanamke wa kiislami.wa saudi Arabia atawakilisha nchi yake Kwa mara ya Kwanza kwenye mashindani ya Miss world sasa Zanzibar wanajitanya wanajua uislam kuliko saudia
Kitendo Cha wa awamu ya 5 kuweka viongozi wasiochaguliwa madarakani matunda yake ndio haya wanaamini watakuwa madarakani hata kama hawatapigiwa kura na wananchi.matokeo ya kukiuka taratibu za Uchaguzi yatatupeleka maafa katika nchii wananchi uvumilivu ukiwaishia tutajikuta kwenye Hali mbaya hasa...
Haya yanatokea Kwa sababu wananchi wamekosa Imani na serikali yao hasa linapokuja suala la rasilimali za nchi wakiwa na kumbukumbu ya bandari mambo yalivyopekwa Kwa nguvu bila ridha ya wananchi
Mimi simwelewi huyu mtu Ina maana bwawa la nyerere tumepoteza fedha si walisema mwezi wa march Sasa wanasrma hawajui ngao utaisha lini Kwa hiyo naibu waziri ametu danganya sisi wanamchi
Naomba useme ni wapi ameweza kutatua zaidi ya kurudisha Kwa wahusika ni wapi matatizo ya.watu yanaweza kutatuliwa kwenye mkutano wa hadhara je.anaweza kufikia watanzania wengi wenye shida mbalimbali Kila Kona matatizo ya watu walio wengi yanatatuliwa Kwa kutumia mfumo sio mtu kutembea barabarani...
Malasuser ni wakati wa kurudi Kwa bwana umeacha kondoo na kujiunga na mrengo unaenda kinyume na matakwa ya wananchi Sasa wamejeuka unabaki mwenyewe mrudie kristo ndio tegemeo lako
Katika jambo lililomwinua mama samia ni hili la kuruhusu maandamano big up mama samia kiuhalisia amezidi maraisi wote waliopita namuona mama samia ni mwema tatizo ni wanaomzunguka huko ccm sio watu wema mama Leo umeonyesha Kwa jamii ya watanzania anaweza kuleta mabadiliko ukiacha doa la Dp world...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.