Recent content by Franco Zetta

  1. Franco Zetta

    Chuki ya Mama Diamond dhidi ya Zari

    Khaaaa! Toba! toba!, toba yarabi huku sasa ndio kunyweshwa maji kwa Chekecheke.
  2. Franco Zetta

    Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

    So wewe ndio unacho umpe? Ha Ha Ha!.
  3. Franco Zetta

    Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

    Dah! Huyo mwanamke hana chembe ya staha mafanikio ya mwanawe yame muwehua hajifai.
  4. Franco Zetta

    Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

    Ebo!! Hivi kumbe ni refa mchezaji,wajanja walisha liona hili kuwa pana mnada hapa.
  5. Franco Zetta

    Tukate mzizi wa fitina: Tunda na Lulu nani kisu zaidi?

    Yes! kuna kajipromo flani haramu kanaendelea.
  6. Franco Zetta

    Kafulila: Hii ndio siri ya Singasinga kulindwa ufisadi wa IPTL/ESCROW

    Mkubwa sana ni Mungu na Ukuu wake haupimiki hao ni genge la Wezi tu.
  7. Franco Zetta

    Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

    Suluhu ili arudi kwenye kiti, naona Prof. sasa kaamua kujitoa ufahamu.
  8. Franco Zetta

    Kibonzo: Hali ya Profesa Lipumba ofisini Buguruni inatia "huruma"

    Uroho wa Madaraka ni tatizo sana mtu mzima kisha msomi ana jidhalilisha kwa uchu wa madaraka kumbe basi alimtishia nani nyau? ooh 'mie dhamira ina nisuta' je tamaa si ndio ingekuwa ina mnyonga kabisa? kiko wapi sasa, ah! Le Profesere Sitaki nataka shame on you, uko tayari kabisa jahazi lizame...
  9. Franco Zetta

    Wema amkumbuka ex wake baada ya kumwagwa na Idriss Sultan

    Bora hata hayo makombo kuliko ukairejea nakukuta imekurudia na virusi.
  10. Franco Zetta

    Wema amkumbuka ex wake baada ya kumwagwa na Idriss Sultan

    Hutokea ukiishiwa sigara ukarudia vipisi kwenye ashtray.
  11. Franco Zetta

    Ukimya wa wanasiasa juu ya fao la kujitoa ni mtego wa kuwatumia wafanyakazi 2020

    Mjinga wewe umesha vimbiwa na upumbavu na chuki ulizo lishwa umebaki kuvishwa mabomu tu ulipuke,shwine waheed.
  12. Franco Zetta

    Ipi kapo kali kati ya hizi

    Hiyo pair hapo namba mbili (2)imetimia.
  13. Franco Zetta

    Ipi kapo kali kati ya hizi

    Kama ndio chambo chake kila la kheri ila dogo ume mshindilia vibaya.
Back
Top Bottom