Recent content by francismihiga

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Hugo alikuja hazimi hawashi hana msaada wowote kitika chama bora alivyoondoka Mimi naona kachelewa sana kuomdoka chama kinakuwa safi mafisadi wakala wao waondoke wote chama kiwe safi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa atapata zaidi ya kura milioni 15

    Mfano mzuri 2010 waliojiandikisha walikuwa milioni 21. Waliopiga kura milioni 8:6 sasa tizama gepu ilivyokuwa kubwa na chadema ya Dr slaa ilikuwa moto kwa hivyo Mwaka huu kama itaongezeka idadi ya wapiga kura labda basi milini 10 au 12 milioni hapo ACT Anakula vichwa milioni 150, ADC laki 5...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe Florentino Perez alikuwepo Pemba

    Wrote wapiga dili hao tarehe 26/asubuhi kila MTU atakuwa hataki kupokea simu ya mwenziwe kwa machungu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli atangaza neema nchini. Kufuta masharti ya uzoefu wa ajira

    Jipange wewe muongo Maghufuli hajauza nyumba za serikali hana mamlaka uuzwaji Wa nyumba ulifata taratibu zote kisheria bunge liliridhia
  5. F

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa Kisiwani Pemba - Oktoba 03, 2015

    Waongo wakubwa hizo picha ni mkutano Wa Maalim Seif alipohutubia kiembesamaki jimbo LA mpendae mpezuga wanafiki hao Mimi Niko Pemba hakuna kitu kama hicho
  6. F

    JamiiForums Tanzania Slaa amerejea nchini

    Leo hii amakweli fadhala za punda ni mateke leo slaa si chochote
  7. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Tanganyika packers: Kampeni ya chama cha demokrasia na maendeleo 01/10/2015

    Sasa msije kulalamika Leo mkutano wenu mumezidisha dakika 20 sasa mkichukuliwa hatu a mtasema mnaonewa hakuna aliye juu ya sheria .
  8. F

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza watu wasio ruhusiwa kurekodi au kupiga picha kwenye mikutano yao

    Wacheni hizo huo ni unafiki tu huyo ni muongo aliyejidai ameweka kamera yake mfukoni hivi si ameshapiga picha atuwekee hapo sio porojo
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete ameteua wanajeshi na watu wa usalama kuwa wakuu wa tume ya uchaguzi

    Hiyo ni dalili ya kushindwa ameshaona mambo magumu hawakumtegemea Maghufuli atawateka na kukubalika na wananchi kama ilivyo sasa wamefanya utafiti wamegundua Maghufuli atachulua nchi sasa wanatafuta kisingizio cha kukataa matokeo kwani 2010 si waliyakataa matokeo nini kilitokea mwisho wao...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli Si lolote si chochote kwa Mfumo wa CCM

    Mfumo ni MTU akiwa mchapa kazi kweli kweli hana matajiri wanao mzunguka yanawezekana msidanganye watu Maghufu Jembe kila MTU atakaa sawa waliokuwa hawatampenda ni mafisadi na majizi yaliyozoe njia ya mkato .
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msipotoshe, CCM haijatawala Miaka 50

    Huo ndio ukweli hao wawili ndio waliyoimaliza nchi hii Leo wanawasingizia ccm haijafanya kitu wakati wao ndio waliovurunda nchi hii hiyo miaka 19 moja kakaa miaka 10, mmoja 3, wanafiki masikini nawaonea huruma watu wafata mkumbo tu kiza kinene kipo mbele yao
  12. F

    JamiiForums Tanzania UKAWA kuongea na wanahabari leo saa 8 mchana

    Muongo sasa hivi SAA 8:45 . hamna kitu wacheni uwongo
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wakala wa CHADEMA anayefanikiwa kazi aliyotumwa kuiangusha CCM

    Muongo mkubwa hizo ni siasa za kizamani huu ni wakati wa digital
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Mgombea tutamtangaza baada ya siku 5 Au 6

    Freedom tomorrow lipumba alikuwa Zanzibar ipi kwa maalim seif yupi ? na maalim Seif yupo Itali hamuwachi uowongo wa mchana
  15. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Huyo askofu kwanza Mimi nasema muongo hakuna Mungu Wa namna hiyo amuoteshe fisadi awe Rais , Hawa viongozi Wa dini wengi ndio tulioambiwa manabii Wa uwongo
Back
Top Bottom