Recent content by FrancisMengi

  1. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Rais Kikwete Akiwa Mkoani Ruvuma Kumuombea Magufuli Kura

    Mtu anaposema Mbowe anasafirisha mabilioni, si wamkamate? Wao wana dola sasa wanasubiri nini kumkamata?
  2. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

    CCM wanasahahu kuwa hii sheria ya uchaguzi haijaja leo. Waliipitisha wao wenyewe bungeni na majority votes zao za NDIOOOOOOO. Sasa leo shida iko wapi????? Kweli Lowasa amesisitiza elimu. Tunaihitaji kweli kweli
  3. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kakobe aongoza maandamano ya Kanisa lake

    Brainwashed fellow
  4. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kakobe aongoza maandamano ya Kanisa lake

    Haina tija kwa taifa.
  5. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuteta na vijana wa Tanzania tarehe 09/12/2013

    Hivi Zitto ni nani tena? Jina kama sio geni
  6. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuteta na vijana wa Tanzania tarehe 09/12/2013

    Familia ya kikwete CCM haizungumzwi, familia ya makamba ccm haizungumzwi, familia ya malecela ccm haizungumzwi, familia ya Malima ccm haizungumzwi, familia ya kawawa ccm haizungumzwi, familia ya mzee Nnauye haizungumzwi, lakini Chadema inasemwa ni chama cha kidini, cha mzee mtei. Wanasiasa...
  7. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ya CHADEMA imefanya maamuzi ya kijuha!

    Akili ndogo inayoendeshwa na njaa. Wala hujawahi kuwa msaada kwa chama
  8. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa awadhihaki Zitto, Kitila na Mwigamba. Muendelezo wa majungu

    Mmeumia sana kukosa mlichotegemea. Small minds
  9. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Matokeo 'hasi' ya kumtimua Zitto ni haya; Mbowe & Slaa mnaua chama

    Tafadhali tusaidie kujua kiwango cha elimu yako ili tuweze kuamua na kufikiri kuwa analysis yako sio ya kutoka kwa waliopo kwenye ujinga mkuu wa wana wa kijani
  10. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Wanakigoma tunakusubiri mbunge wetu ZZK utuambie chakuifanya CHADEMA na unafiki wake

    Mawazo ya kitumwa. Sidhani kama wewe ni wa Kigoma kweli
  11. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo si ulisema mgao wa umeme Watanzania tutausikia kwenye bomba?!

    Kufanya usafi na matengenezo madogo madogo hakuna ratiba? Lazima kuwe na back up plan kabla ya kusimamisha uchumi wa nchi kwa style hii
  12. FrancisMengi

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Kova ndiye aliyekamata magaidi mtwara? Nimeamini kuwa kuna watu wasiojua maana na hawataki kusibiri waambiwe maana. Fanya kautafiti kidogo ndugu yangu, acha propaganda
Back
Top Bottom