Recent content by Francis pete kimati

  1. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Hivi waandishi na wanasheria waliokuwa wanamzongazonga Yesu kwa Maswali kitaaluma ni sawa na hawa akina Balile and Pascal?

    Wale wazee wanao amua kesi za ukoo huko vijijini walisomea wapi sheria?
  2. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    Tulikuwa bar fulani hivi mhudumu akabadilisha chanel akaweka hotuba ya rais ohoooo!!!! Kidogo watu wavunje tv .ondoaaaaa!!! Ondoaaaaa!!!ikabidi aweke BBC VATICAN Mazishi ya papa!!kiukweli mama kapoteza mvuto
  3. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wengi Wana CCM Wameogopa waliyomkuta yule Mwana CCM wa Kilimanjaro

    Kwa kuwa Lucas mshamba ni mkatoliki tutamtenga rasmi na kanisa kama yule jamaa Moshi
  4. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama nchi ni yetu sote kwanini watu hawaruhusiwi kwenda kusikiliza kesi ya Lissu Mahakamani?

    Mungu tenda jambo.kama Mungu alivyoamua ugomvi naami na huu ataamua tena haraka kuliko ule.
  5. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Wakati unasoma habari za Polisi na Chadema ukiwa umefura kwa hasira dhidi ya mateso wanayopitia vyama vya upinzani mara paaap UNAKUTANA NA HABARI KAMA HII YA ARUSHA
  6. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

    Kwani Rais magufuli yuko wapi?yana mwisho
  7. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waliochoka kuhubiri Neno la Mungu na kuchunga Kondoo wa Bwana wavue Majoho na kuingia kwenye Siasa kama alivyofanya Dkt Slaa

    Mimi naona mtu kama unakuwa na ujasiri wa kutukana na kukosoa viongozi wa kidini,ni matokeo malezi mabaya ya kukulia mtaaani na maeneo ulio kulia unakuta ni ya kihunihuni tu.kila mtu unamwona muhuni mwenzio
  8. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kelele hizi za Maaskofu, Mashehe na Wachungaji usizifumbie macho ukalalia upande mmoja wa sifa unazomwagiwa

    Mashehe waondoe wao wanaunga mkono maovu yanayoendelea
  9. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

    KWeli Catholic sio mchezo wanajitokeza mmoja mmoja kujibu.dawa imewaingia
  10. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Wewe ni mpuuuuuzi,Mshenzi ,na nikuambie huna uwezo wa kujibu huo waraka.wewe na elimu yako ya darassa la saba ni wa kujibizana na Askofu .umekosa adabu kweli.ulaaani kumbafu sanaa
  11. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Jamii Forum inapoteza ushawishi kwangu.

    Kweli kabisa jf ilikuwa ya moto kweli kweli.ila kwa sasa imepoa sana!!!
  12. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Ukitoa wazungu, Ulokole ndio Ukiristo halisi wa Africa

    MLokole akikanyaga nyumbani kwa namkata mguu
  13. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Jinsi punyeto na kujichua sehemu za siri Kunavyokuunganisha na ulimwengu wa kuzimu

    UTAFITI:Kama Mwanaume hujawahi kupiga Punyeto miaka mitatu ijayo utakuwa HANISI"
  14. Francis pete kimati

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    MImi nimeweka mtaji wa ml.5 kwa ajili ya kubet kila cku. nakula,navaa,nasomesha, na nimejenga.Watu wanaa ndio wanaumiza akili huyu vipi mbona hana kazi?
Back
Top Bottom