Swala maendeleo yalikuwepo bhana,sisi wanyonge wa hali ya chini ndo tunajua umuhimu wake maswala ya kuu sijui kupiga risasi hayo ni maswala yenu ya kisiasa kwani siasa ni mchezo mchafu!
Naona utakuwa ukipita ukiandamana kwenye flyover alizojenga Magufuli katika utawala wake,Magufuli alifanya kazi bwana hata nidhamu kwa watumishi wa umma ilikuwepo kwa sababu alikuwa serious kwenye mambo ya maendeleo.Demokrasia ipo tu,tunawwza tukawa na demokrasia lakini tuna barabara mbovu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.