Recent content by francis kabalika

  1. F

    JamiiForums Tanzania Enyi serikali na DAWASCO, kero ya maji Dar hasa Kimara na Mbezi itaisha lini?

    Mcfm40 Ndugu hao jamaa wa Dawasco wanaona wakitupatia maji sisi kwao ni hasara ni bora wawauzie watu wa magari, haingii akili vioski vina maji Kila siku lkn kwenye mabomba yetu hayafiki
  2. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la vitunguu

    Moshi sehemu gani,gunia bei gani?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela wa ITV apewa vitisho baada ya kutoa habari ya abiria waliokwama na treni

    Pole sana Kaka Sammy Mahela,huna kosa kwa ulichokifanya
Back
Top Bottom