Mtandao wenu hapa Kinyerezi upo chini sana, kupiga simu ni kwa shida, internet ndio kabisa huwezi kufanya chochote. Njoni mshuhudie wenyewe kwani nimekuwa natoa taarifa hizi mpaka nimechoka sasa imebidi niwahame. Ukiwa Kinyerezi mwisho ukielekea kaskazini mashariki kilometa 1 tu unapoteza...
inaelekea mnara wenu Kinyerezi mwisho una matatizo au haufanyi kazi au labda eneo lile hamna mnara labda tunahudumiwa na mnara wa mbali sana. Mawasiliano kwa ujumla ni mabaya sana, kupiga simu shida wakati wowote mnara unashuka na simu inakatika, wakati mwingine mtu wa upande mwingine humsikii...
Mbona hamtaki kuboresha network hapa Kinyerezi mwisho. Hali ya mawasiliano ya voda si nzuri kabisa hapa, inabidi tutumie mitandao mingine kutumia voda hapa ni majanga
Manabii wa uongo tu hao. Wanachotafuta ni pesa tu, wanapandikiza watu kwa malipo kutoa shuhuda za uongo ili kuwavuta watu wakusanye sadaka na zaka wanufaike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.