Recent content by frama

  1. frama

    Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

    P Fedha hizo ni za uchaguzi!!!... ndio maana unachanga baada ya kupata ubunge ambao ulidhaminiwa na chama
  2. frama

    Rwanda yafanikiwa kupata bandari kavu Kenya

    Wewe ndugu yangu hamna kitu kabisa hivi unajua mizigo 90% ya Uganda inapita Mombasa!!!...Nani alikwambia 1450 kilometers ni ndogo kuliko 900 kilometers!!!..
  3. frama

    Lwakatare: Tupo tayari kwa lolote litakalotokea, asisitiza wapo sahihi, apuuza vitisho vya Mbowe

    Unataka ajitafakari kwa kupata credit za kutosha ndio maana nikasema siasa ni hesabu na biashara Kali sana Hadi uweze kuicheza vizuri inahitaji akili nyingi sana!!!...
  4. frama

    Lwakatare: Tupo tayari kwa lolote litakalotokea, asisitiza wapo sahihi, apuuza vitisho vya Mbowe

    Unawe Unawezaje kuongelea siasa za Upinzani alafu ukasema Mbowe wa Jana!!!..msijifunze siasa kwa kusoma vijarida hivi!!!...
  5. frama

    Lwakatare: Tupo tayari kwa lolote litakalotokea, asisitiza wapo sahihi, apuuza vitisho vya Mbowe

    Kama hujui historia ya vyama vya siasa na Upinzani Tanzania Bora uendelee kukata Vitunguu tu
  6. frama

    Dodo ya AliKiba: Mapato ya Youtube yamebuma, Shows hakuna, tutegemee ukimya wa muda mrefu

    Watu wanashindwa kujua kila mtu Ana interest zake itakuja kufikia tutaanza kusema kondeboy mbona Hana media yake!!!...au tutaanza kusema mbona Ay au Sugu hawajafungua media!!!...
  7. frama

    Askofu Josephat Mwingira awataka waumini kuvua barakoa

    Kwani Barakoa ndio ina zuia Corona au maji tililika!!!..Kama Barakoa ingekua inazuia Corona nadhani wachina wasingepata huu ugonjwa kwasababu wachina wengi maisha Yao huvaa barakoa!!!...Barakoa ni Kinga ya hewa chafu lakini siyo kirusi hiki Cha Corona ndio maana tunaambiwa tuoshe mikono Mara kwa...
  8. frama

    Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Naomba ni Naomba nikurekebishe kidogo,Gari za kupewa na kununua Zina utofauti kidogo!!!...umeona hammer aliyokua nayo Gwajima ni left hand kwasababu alipewa lakini kuna zilizopo hapa sana sana mwanza na Arusha ni right hand!!!...Gari ya kutoa order kiwandani nadhani utawaambia unataka right...
  9. frama

    Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Wewe Watanzania Sasa Kama yeye kaiona mwanza una bisha!!!...Yule jamaa DGE anayo aina gani tena
  10. frama

    Tazama jumba la msanii Diamond Platnumz

    Unadhani ni watanzania wangapi wanauwezo wa kujenga Nyumba ya 900 millions tukiacha uongo wa kila mtu kujisifia!!!...
  11. frama

    Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

    Kwa eneo Kama Mikocheni lazima waombe kibali lakini kubwa zaidi kuna sintofahamu??!!
  12. frama

    Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

    Wanapenda Kiki ndio shida!!!... Tanasha angekua kapewa Gari kweli angeondoka nayo!!!...tumemwona Hamisa na Rav 4 yake kwanini Tanasha hajachukua gari aliyopewa Kama zawadi!!!... Biashara matangazo
  13. frama

    Tetesi: Tanasha kanyang’anywa gari, wanawake tafuteni pesa zenu

    Ukweli hausemwi!!!...Gari hizo ni za matangazo (Kiki) Tanasha alipewa gari Kama tangazo haikua zawadi kweli!!!... magari hayana kadi ndio maana Tanasha hawezi kuchukua
  14. frama

    Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Ruzuku na mfuko wa Jimbo Sawa kabisa lakini huko wanapolia ni Jimbo la ccm au ulitaka mfuko wa Jimbo la Hai na Ruzuku ya Chadema ndio ikawasaidie huko, wakati chama Cha mapinduzi kinapata Ruzuku zaidi na kina vitega uchumi vingi!!..
  15. frama

    Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

    Mziki unalipa bwana!!!... ukiangalia maisha halisi ya vijana wa WCB unaweza kulia sana!!!...kilichopo kwenye mitandao na wao wenyewe ni tofauti kubwa
Back
Top Bottom