Usibishe, nenda sokoni.
Mwezi mmoja nyumba viwandani Kama bati bomba, tantu, snowbati ziliuzwa 23,000 gage30 saivi zinauzwa 29,000 kiwandani, je mtaani Bei gani?
Bati 28gage, nyeupe simba dumu mtaani Dar inauzwa wastani wa 35,000 kwa pisi.
Na viwanda vyote vina uhaba wa bati wengine wamefunga...