Watu washachukua nyumba washaingia kukaa Bila dalali na mambo muswano tu Acha maneno mingi.unaleta hoja za kizamani eti nyumba mazindiko sijui nini..upepo wa pesa ngumu huu mambo ya kukaa uwani kupiga domo usubirie simu za udalali ndio yanaishia hayo ohoo anzeni mchakato wa kutafuta ishu...
Fungueni uzi wenu madalali wanaohitaji huduma yenu watawafuata huko mbona Ni rahisi tu kuanzisha thread.
Hizo tabia tu Ni kama wale madalali "tuliowazoea",vurugu na kujitia uenyeji mahali pasipowahusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.