Recent content by Fortuworker

  1. Fortuworker

    SoC03 Huduma bora ndani ya nchi yetu

    Ndg. Wanajukwaa wenzangu, Naomba kulipanda Jukwaa hili la Utawala Bora na uwajibikaji katika utumishi wa umma. Nashukuru kwa kupata Nafasi ya Kupaza sauti Na Nakusema. Natambua Mchango Mkubwa wa "HUDUMA BORA NDANI YA NCHI YETU". Inayotolewa na Utawala Bora Wa Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya...
  2. Fortuworker

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Swali linawasha hili mtupe majibu Ila Me Ningejitetea bhna Costs Coverege Complexity Skills Targeting Participation
  3. Fortuworker

    USA kwa mara nyingine yadhihirisha Ukiranja wake mkuu wa dunia kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth II

    Africa Rais kupanda Bus Ni Habri Aiseeee! Kama Tajiri kula Dagaa [emoji38][emoji38][emoji38] Na hili Mlishughurikieee
  4. Fortuworker

    Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Changamoto za hya makabila yetu yanasifa fulan +na - ambazo wengine tulizikita nakuzisikia Sasa ndio kipimo Cha Maisha yetu wengine unaulizwa tu hivi we Ni kabila gani? Ukijibu tyari ushapewa nafasi yko Kama kabila lako Kwahiyo me Naona Tuunde kabila Jipya[emoji41]
  5. Fortuworker

    Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Kutaja kabila yako bhna Ni Sawa na mtu akuulize hivi we raia wa wapi? Wakt wote anaona Nywele Ngumu.
  6. Fortuworker

    Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Of course hta me sipendi nijurikane, lkn Ukabila Upo Ila umepoa tu. Hasa Sisi wa Kanda ya ziwa ukutane na wa kaskazn Mama. Utafanya kazi Mbili hapo Ofisini
  7. Fortuworker

    SoC02 Magari ya umeme Tanzania

    Nashukuru Sana Kaka Na Me Pia Nakutakia Kila la Kheri
  8. Fortuworker

    SoC02 Magari ya umeme Tanzania

    Weka Like Uendeshe Gari ya Umeme Hapa
  9. Fortuworker

    SoC02 Magari ya umeme Tanzania

    Najua huenda hujaendesha gari la umeme au hata hujawazia kununua gari hilo, Unaambiwa Ufunguo wa Mafanikio Ni kuanza Mapema, kabla ya Muda kufika. Kuna Wakati Sisi hapa Tanzania, Vituo vyote vya Mafuta, Hatuta kuwanavyo Badala yake Tutakuwa na Vituo vya kuchaji. Tuko katikati ya mapinduzi...
Back
Top Bottom