kwa jina naitwa Fortunatus Buyobe au ukipenda niite ndimu mkata shombo.
Kwanza naomba nijibu hoja yako moja kwa haraka sana bila kuikawiza
1. Kwamba nimekukopy na hadi nimechukua picha zako. Swali ni, ni wewe ndiye umezipiga picha hizi? Kama sio unajimilikishaje hakimiliki?
2. Kwa msisiti...
Tarehe 9 mwezi wa pili mwaka 2020 Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa alikuwa mkutanoni Jijini Adis Ababa Ethiopia.
Huko nyuma nchini kwake katika shamba lake la wanyamapori la PHALA PHALA lililopo Jimbo la Limpompo linatokea tukio la kuvunja na kuiba.
Mfanyakazi wa ndani wa Rais pale...
Wewe ni mwizi wa kazi yangu. Usingetoa jina la mwandishi isingekuwa tabu. JamiiForums naomba niripoti kwamba huyu amecopy kazi yangu na kupaste hapa. Nitaleta nakala ya kazi halisi alipoitoa.
NB nimekubaini wewe ni member kwenye channel yangu ya telegram ulipotoa kazi hii. Najua jinsi ya...

Chini kabisa ya uzi wangu utaona kuna namba pale baada ya maeneo ya kulike na kureply. Bonyeza hiyo namba utakuwa umenipigia kura. Natanguliza shukrani zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.