Recent content by Formula

  1. Formula

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Kabla ya kutaja waliomtaka kimapenzi akawakataa angetaja kwanza waliomtaka kimapenzi akawakubalia.
  2. Formula

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Hii tabia kwa watanzania sijui itaisha lini na inaonesha bado tuna safari ndefu sana.Madaktari wanailalamikia serikali iboreshe mazingira yao ya kazi then wanasimama fani zingine mbona sisi tunapewa hivi! Kitu kama hakikuhusu ni bora ukae kimya na kama nawe unahitaji kuboreshewa subiri wakati...
  3. Formula

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Wakuu,wapi nitapata majogoo ya Rhode Island Red? Nitumie email kwenye akassimu@gmail.com
  4. Formula

    JamiiForums Tanzania Just call me Formula

    Hi, My name is Athumani Kassimu.Mining engineer currently working as a Blasting engineer at Buzwagi mine. So glad to join this forum kama vp nipokeeni
Back
Top Bottom