Airport kubwa kama ya Dar, kuwa kitovu cha utalii kanda ya ziwa, Mbuga ya wanayama ya kutengeneza, uwanja mkubwa wa mpira, chuo kikubwa cha ufundi cha veta, bohari kubwa ya dawa ya (MSD)
Mbona huchoki kukoment bidada? Unarudia mara kumi kumi au wewe ni mwanakondoo wa Gwajiporn?ndo amewatuma mje huku kuleta hizi fujo?mwambieni boss wenu ni mchafu sana hawezi pata kura Kawe.wanakawe wanajitambua sio wapumbavu wa kuongozwa na mcheza sinema za ngono.
Wewe mtu mmoja unakuja kujibu comment moja badala ya nyingine, hujishtukii mzee?? Mfaidika nini wa ujinga unaondelea? Acheni kudanganywa kwamba mnaweza kujiendesha wenyewe fatlia Zimbabwe kwa umakini ndo utajua nguvu za hao mnaowaita mabeberu.
Sura yako uloiweka kwenye profile ni nzuri wala haiendani na matamshi ya kishamba yanayotoka kwenye kinywa cha mtoto mwenye sura nzuri hivyo eti
"anakura =anakula"
"Nirichanga=nilichanga". Nilijua uko vizuri upstairs kumbe kichwa chenyewe ndo kinatapika errors hivyo?hufai hata...
TUNAKUONYA MILLARD UKIENDELEA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI KWA UPENDELEO TUTAANZISHA KAMPENI YA KUKU UNFLOW HIYO PAGE YAKO MPAKA UBAKI NA FOLLOWERS 100. LEO UMERIPOTI HABARI ZA CHAMA KIMOJA TU UTAFKIRI TL HAJAFANYA MKUTANO WA HADHARA LEO.
Habari wana JF,
Nimepita mahala nimesikia Watu wakibishana hili jambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Wengine wakisema unaruhusiwa kumchagua Rais tu Ila mbunge hautoruhusiwa kwakuwa sio eneo lako la makazi lakini wengine wakisema huruhusiwi kumchagua yeyote kwakuwa namba yako ya...
Unajitoa ufaham kabisaaa kwasababu ya buku7? Umeona wapi mradi unasainiwa mara mbilimbili Tanga 2016 na Leo tena? Mmesha yakoroga tulieni mtayanywa mtamuomba mpaka Trump aje kuwasaidia campaign. TL kawashika pabaya wasanii watakula sana hela za chama Mwaka huu[emoji23][emoji23]
Watakaompa kura Gwajima ni wenye akili ndogo kama nyie vijana wa mbogamboga, Kawe ina Watu wasomi wanaKawe sio wale kondoo anaowajaza pale kwenye zile banda zake ubungo. CCM hamna sera mmekalia tu madaraja, barabara ndege mara ntapeleka vijana Japan kupata mafunzo ya kuendesha...
Toka mwenyekiti apunguze posho kwa UVCCM, vijana wote wenye akili CCM wameondoka mmebaki vilaza na wafia matumbo kama nyie ambao mnaandika WEREDI badala ya WELEDI. Na bado polepole atawanyoosha tu, na sasaiv wanampango wa kuipunguza hiyo buku7 sijui mtaendesha vipi maisha yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.