Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri.
Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu.
Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana:
Nikipiga...
Nakushauri usimlete kwenye familia yako ya sasa, utaishi kwa shida sana. Nilifanya hivyo, maisha yalikuwa magumu sana, namshukuru Mke wangu baadae alikuja kuelewa baada ya vikao vingi vya kwao.
Jenga mazingira mazuri ya mama na mtoto huko waliko, wajengee, wape nahitaji Yao muhimu (nyumba...
Anza kuwa karibu na mtoto, muoneshe upendo mtoto tena uwe extra, usitume kitu Cha mtoto kwa mama kabla haujaongea na mtoto, na uwe unamwambia vitu ulivyotuma.
Sometimes mpe nafasi aseme anavyotaka mwenyewe (mtoto).
Usiache kumpa zawadi anapofanya vizuri darasani, pia usiache kumkemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.