Recent content by fordzz

  1. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Asante sana mkuu, nitalifanyia kaz hilo , juzi mkuu niliomba kwa kutumia/ kunena kwa dam ya yesu Kristu, niliota kuwa nimetoka kazin, wakat nipo nyumban nikaangalia mfukoni nikajikuta nina ufunguo wa kazin kwetu nimeusahau mfukoni hii ndoto ina maana ngan mkuu?
  2. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu na mm kuna mke hadi wa leo huwa hatuongeleshani aliondoka kwa kosa dogo tu na ni mambo ya familia yangu na yake kutokuelewana , sasa amekuwa ni mtu wa kunitukanisha mama hadi mm na kunilaani na kunichukia mim na mama yangu , ni maneno ya ajabu sana ya kunitukanisha mm na mama yangu , sasa...
  3. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Sasa mkuu , hapo vifungo mm napenda kuvitoa katika roho ya nuru, maana nahisi na kujua kabisa nimeshafungwa nafsi nifanyeje nisaidie kwa hili,
  4. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hapo unaweza tafta zabibu kisha ukazikoroga ukapate maji yake na ukayatumia? Inawezekana?
  5. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Na nawezaje kufungua sasa hivyo vifungo vya giza na kufuata upande wa nuru ? Maana nikijiangalia na jinsi nilivyosoma topic ilivyo najiona nipo tofauti kabisa kimaisha, kimahusiano, nikioa mtaka na mwanamke miezi kadhaa anaondoka pasipo sabbu yoyote ya msingi, ulevi kwa saana , nahisi haya yote...
  6. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Hapo kwenye ukristu ni kuwa kwa kutumia roho za nuru , pamoja na damu ya kristu cyo?
  7. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Sawa nimekuelewa, kwa hiyo hapo ni chaguo langu cyo?
  8. fordzz

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Sasa mkuu wacha nami nirudi nyuma ama kwa hili waweza nisaidia, ni kuwa mm nimezaliwa kuja kujitambua nina Chale mwilini, sasa kwa vile ni utoto unachukulia kawaida na hapo huwez muuliza mzaz kwa nn hizi chale zipo mwilini mwangu, na hapo hapo wazaz wanahudhulia makanisani, nasi tunafuata mkubwa...
  9. fordzz

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Mkuu hapo hujataja muhaya, Bukoba
  10. fordzz

    JamiiForums Tanzania Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

    Mkuu na mm na huo mkito aisee hapo walijipinda aise
  11. fordzz

    JamiiForums Tanzania Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Kama sh ngap mkuu? Watu tujiripue
  12. fordzz

    JamiiForums Tanzania Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Hebu nipe maelezo yakinifu hapo make nami yameshamikumba alikuwa na wa kiume, miez 5 tu chali
  13. fordzz

    JamiiForums Tanzania Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Ndaaah hii inanihusu aisee, mm ndan 5 chali akaondoka aiseee
  14. fordzz

    JamiiForums Tanzania Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

    Hiyo ipo kikisukuma zaid
  15. fordzz

    JamiiForums Tanzania Yapi matumizi sahihi ya p2?

    Nduuuh!! C useme kuwa ulikuwa ni ww!?
Back
Top Bottom