Kuna mambo yanatia hasira sana, unajua ni bora unyamaze tu kuliko kutolea ufafanuzi amabo unatia hasira watu.
Kama hakuwa police sawa lakimi alionekana hadharani police walishindwaje kumkamata?
Sikuizi kuna mziki mzuri???? Mziki wa zamani ndio mziki radha ya mziki haiishi, lakini nowdays mtu anatoa ngoma leo kesho radha imeisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah wadau msaada wenu kuna dem nilikuwa namfukuzia sasa kila nikitaka nionane nae bila ya yeye kujua inashindikana sasa siku ikabidi niombe namba yake, siku napewa ile namba kumbe haikuwa yake ilikuwa ya mfanya kazi wao alafu mdogo mdogo ivi ila uzuri anao, sasa nikawa nachat nae siku nimemwita...
Wana jamii forum naombeni msaada mi nikilala na mwanamke nikitumia mpira/kondom nakuwa napata shida sana wakati kitendo kinaendelea
Huwa najisikia mwili/uboo una banwa sana na ninashindwa kukojoa, nakuwa natumia nguvu nyingi kukojoa hali amabyo magor mawili nakuwa hoi.
Ushauri wenu nitumie aina...
Alafu uwe unatutolea ujinga wako
Ni na wasi wasi kama nawewe umekula hizo hela kwann unawakingia kifua? Hata musukuma huwa anasema "hakuna kuogopana hapa" nakushangaa we mtz mwenzetu unaanza kuwa mwoga, watu kama nyie ndio mliotufanya tuwe hapa tulipo tuna taabika tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.